Jumba hatari kwenye njia ya Langata linalodaiwa kumilikiwa na Mike Sonko

Publish date: 2024-08-03

- Jumba hilo limejengwa kwa kontena kadha ambazo zimeunganishwa kuunda ghorofa kati ya majumba vyumba vingine vya kibiashara

- Maswali yamekuwa yakiibuka kuhusu kimya cha Gavana Mike Sonko wa Nairobi kuhusu kujengwa kwa jumba hilo kwani hajalibomoa sawia na majumba mengine yaliyojengwa pasipohitajika

Baadhi ya wakaaji wa jiji la Nairobi wanashangaa ni kwa nini uongozi wa kaunti ya Nairobi umeamua kukaa kimya kuhusu ujenzi wa jumba hatari kando na barabara ya Langata karibu na T-Mall.

Habari Nyingine: Picha 12 za mtangazaji Talia Oyando zinazowapagawisha ‘team mafisi’

Wengi wao wamekuwa wakijiuliza sababu ya serikali ya kaunti ya Nairobi kunyamazia kilio chao kuhusu hatari inayowakodolea macho kutokana na jengo hilo.

Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka

Habari Nyingine: Dereva wa tuktuk anaswa kwenye video akiwatwanga polisi trafiki

Walimtaja Mike Sonko kama mnafiki kwani kwa miezi chache iliyopita alijizolea sifa kwa kubomoa majumba yote makubwa yaliyojengwa karibu na maeneo tengwa ya barabara na mito ila jengo hilo la Langata hataki kulibomoa.

Kulingana na wenyeji, jumba hilo ni la mwandani wa karibu wake Mike Sonko na ndio maana gavana huyo ameshindwa kulibomoa.

Habari Nyingine: Aliyekuwa mtangazaji wa KTN azingua wafuasi mtandaoni akiwa nusu uchi

TUKO.co.ke imefahamu pia kwamba jengo hilo halijaidhinishwa na idara husika za ujenzi na mazingira na kamwe halijazingatia sheria za uthabiti wa nyumba.

Kulingana na fununu za mtaani, Sonko amekuwa akichukua hongo kutoka kwa matajiri wa Nairobi ambao wamejenga majumba yao kinyume na sheria ili kufadhili kampeni za urais 2022.

Read ENGLISH VERSION

Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke

Subscribe to watch new videos

Chanzo: TUKO.co.ke

ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2BvzmeinmdiboB0fJhmoa6lkpZ6qa3TmqmiZZussq%2FFxGalo6GRYsaiecuapaCZpJZ6rbXNmqOonJGexKJ5yq6koqSZoLa4rYynmGalmaCybr%2FOp6KoZpipuq0%3D