Sababu 20 ambazo huwafanya wanadada warembo kukosa wachumba Wakenya watoa maoni
Kwa kawaida inaaminika kuwa mwanamme ambaye amemuoa mwanamke mrembo ana fahari na kuheshimika
Kwa upande mwingine, utafiti unaonyesha kuwa wanawake warembo wenye elimu wako katika ‘hatari’ kubwa ya kukosa wachumba.
Habari Nyingine: Mjane, 47, akiri kushiriki ngono na wanaume 100 ambao wameoa
Mara nyingi, wanawake sampuli hiyo hawakubali kuolewa "hivi hivi", wanachukua nafasi na muda mrefu kuwasaka waume wanaowafaa.
Huku wanawake wengine wakiwa radhi kuolewa ili kuungana katika kuanzisha na kutunza familia pamoja na masuala mengine, ‘Wanadada hao’ huamini kuwa wana uwezo wa kujisimamia.
Habari Nyingine: Kutana na bintiye James Orengo baada ya kuhitimu shahada (picha)
Jaridala TUKO.co.ke liliwauliza Wakenya kuhusi ni kwanini wanadada wengi huishi bila wachumba na haya hapa maoni yao;
Habari Nyingine: Pasta awashangaza wengi akiwaamuru waumini kuvua chupi kanisani (video)
Habari Nyingine: Mwanamke apigwa na butwaa baada ya kushikwa mkono na Rais Uhuru bila kutarajia (video)
Read ENGLISH VERSION
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke
Chanzo: TUKO.co.ke
ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2BvzmeinmdibIFzgJNmqpqakZfCbn6PZpimmpGvvG601LCYn5merq5uw8CnmJ2ZlJZ6uK3RnqSbp12gwqy70ppksJmTncKursBmrpqjlaPGonnWmquomV2irrC6yGefraWc