Vitu 16 vya kuchekesha wanawake huwafanyia waume zao punde baada ya kuolewa
Uhusiano wa kimapenzi nyakati nyingi huwa moto moto zinapoanza lakini siku zinapopita, wapenzi wanatulia na kusahau vitu vidogo ila muhimu katika uhusiano.
Wachumba wengi walielezea vitu walivyofanya wakati wa fungate katika dau la mapenzi.
Baadhi ya wanawake katika kundi la mtandao wa kijamii wa Facebook, Kilimani mums jinsi walivyokuwa wakiwapa waume zao mpaka kadi za kutoa pesa(ATM) kutumia.
TUKO.co.ke iliandika orodha ya baadhi ya mambo ambayo hufanywa na wachumba wakati wa fungate. Baadhi yake yatakuvunja mbavu.
Habari Nyingine: Limousine ya KSh208 M iliyo na uwezo wa kwenda ardhini na majini (Picha)
16. Kutoiba pesa za bwana anapoweka koti chini
15.Kumfungulia lango kila siku
14. Kumngojea nje arudi nyumbani
13.Kupika na kumngoja mle pamoja hata kama ni saa ngapi
12. Kupaka vipodozi muda mfupi kabla ya bwana kufika nyumbani
11. Kumuuliza ikiwa chakula ni tamu na ikiwa ameshiba
Habari Nyingine: Kimenuka! Diamond Platinumz aonyesha ‘udume’ wake kwa kumzaba kofi mke wake
10. Kuchukua sanduku lake la stakabadhi na tarakilishi na kumpiga busu akifika nyumbani
9. Kumpigia viatu rangi punde akifika nyumbani
8.Kupitia simu yake anapolala
Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka
7. Kushikana mikono mnapotembea
6. Kuongea kwa simu kwa muda mrefu mmoja kati ya wachumba anaposafiri
5.Kula kutoka kwa sahani moja
Habari Nyingine:Mcheshi Eric Omondi aonyesha ‘silaha’ yake na kuwaacha Wakenya vinywa wazi
4. Kulia bwana anapofika nyumbani kuchelewa
3. Msindikiza akienda kazini asubuhi
2. Kutishia kuondoka wakati mnapojibizana kidogo
1.Kuwaita majina tamu tamu kama vile sweetie, babe, love
Read ENGLISH VERSION
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke
Chanzo: TUKO.co.ke
ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2Bvzmeinmdia4B6gZZmraKspWJ%2Bd3nVsphmo6WYtaa3xKyfmmWnlruiw8CknGagpayup63NsqCaZaeWwq6xjLOYqGWgqrulsYybmJqckWLGonnKrqalnaeWe6nAzKU%3D