Orodha ya majina ya walimu waliofutwa kazi kwa kuwadhulumu wanafunzi yatolewa
- Walimu 41 wamesimamishwa kazi na tume inayoajiri walimu nchini,TSC
- 41 hao ambao 40 ni wa kiume wanasemekana kunaswa wakishiriki ngono na wanafunzi wao
- Walimu hao sasa hawataruhusiwa kufunza tena katika shule za kibinafsi au za umma hadi hatma yao itakapotangazwa na tume ya TSC
Kizaazaa kilizuka Jumanne Desemba 12 baada ya tume inayowaajiri walimu nchini ,TSC kuchapisha orodha ya majina ya walimu ambao wamesimamishwa kazi na kupokonywa stakadhabi zao za kufunza.
Habari Nyingine: Aibu ilioje! Mama na mwanawe wajifungua watoto wakati 1 baada ya kupachikwa mimba na mwanamme 1
Habari Nyingine: Sihitaji mkono wa Uhuru au Raila kupata wadhifa wowote wa kisiasa - Asema naibu wa Kalonzo Musyoka
Afisa mkuu mtendaji wa TSC,Nancy Macharia alitangaza kuwa walimu 41,40 wao wakiwa wa kiume walidaiwa kushiriki ngono na wanafunzi wao.
Macharia alisema kuwa 41 hao hawataruhusiwa kufunza katika shule yoyote iwe ya kibanafsi au ya umma hadi hatma yao itakapotangazwa na tume ya TSC.
" Jina la mwalimu yeyote linapoondolewa kwenye sajili ya walimu,huwa sio rahisi lirejeshwe labda kuwepo ushawishi mkubwa kutoka kwa wakuu wa TSC,"Macharia alisema.
Habari Nyingine: Pasta afumaniwa akila uroda na mke wa afisa wa polisi (habari kamili)
Kulingana na taarifa za hapo awali, TSC iliwafuta kazi walimu 22 kati ya mwaka wa 2014- 2016 baada ya kupatikana na makosa ya kuwalaghai wanafunzi na kuwa na uhusiano wa kimapenzi na wao.
Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka
Hii hapa Orodha ya walimu ambao wamesimamishwa kazi na TSC;
1. Kavulu M. Joel
2. Kingaru Thumbi
3. Kavwaa M. Peter
4. Odhiambo O. Joshua
5. Musyoka Benjamin
6. Kovulo M. Josephat
7. Mwove Reuben M.
8. Okelloh O. Shadrack
9. Onyango Daniel Otieno
10. Kingoo David
11. Nyamai Onesmus Musalu
12. Alumasa Benedictor M.
13. Muthwa Syengo
14. Mutunga Johnstone Kamuti
15. Lugongo Evans Wanyama
16. Kitur Paul Kiprotich
17. Kipketer Monicah J.
18. Momanyi Wycliff Nyandwa
19. Kenyanya Peter O.
20. Chikamai Dennis S.
21. Omolo Shadrack Akelloh
22. Sausi Peter N.
23. Orongo Joshua Odhiambo
24. Mbatha Ndambuki
25. Muriithi Ndwiga Paul
26. Ombati Sylivanus Nchore
27. Neondo Omumia Paul
28. Mang’ongo Simion
29. Khamoi Felix Mariko
30. Kuria Michael Njoroge
31. Ooro Evance Otieno
32. Ndungu Gicheru Joseph
33. Gitau Wamjihia Geoffrey
34. Kinga David Mwangi
35. Muthama Kiilu Edward
36. Omollo Gervas Otieno
37. Kyale Simon
38. Munywoki Titus M.
39. Kennedy Adagala
40. Mabwai Charles K
41. Mangoli Wyycliffe
Read ENGLISH VERSION
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke
Tazama habari zaidi kutoka TUKO.co.ke
Subscribe to watch new videosChanzo: TUKO.co.ke
ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2Bvzmeinmdia312f5FmpqunlJ2ubsXAZqSaopmjrm7FwGaumqSZosJuw8CloKiepanEonnKmrGiZZusrm631LCYnaClocKuwYywmKeZlqq7u7WMspitp5yaxG%2B006aj